• Mukutano wa Africa illa unahusu watu wote munakaribishwa.

SOYEZ LE BIENVENU

Nous sommes un groupe chretien qui rassemble toute personne sans distinction, nous portageons la parole de Dieu selon la saine doctrine. Nous louons l’Eternel par des cantiques et prieres, nous temoignons les merveilles de Dieu, Nous avons aussi le moment d’agape
Contacte: Pasteur KALASA SIMPLICE, (+358) 0445858575, 0466329863
email: kalasimplice@yahoo.fr

KARIBUNI

sisi ni kundi ya kikristo linalo kusanya watu wote bila ubaguzi, tuna gawa Neno la MUNGU kulingana na mafundisho ya uzima, twasifu MUNGU kwa nyimbo na kwa maombi twashuhudia piya Makuu ya MUNGU. Tunawakati wa agape.
Contacte: Pasteur KALASA SIMPLICE, (+358) 0445858575, 0466329863
email: kalasimplice@yahoo.fr

Dimanche: 16:00 – 18:00         Jumapili: 16:00 - 18:00
Priere                                           Maombi
Adoration                                    Maabudu
Enseignement                           Mafundisho
Agape                                          Agape
Vendredi: 17:00 – 18:00          Ijuma:17:00 -18:00
Repetition de la chorale          Mazowezi ya kwaya

 

No upcoming events

Sifa na kuabudu

Mikutano ya kila wiki sifa na ibada ni Jumapili saa 4:00

Matayo 28:16 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu Awatuma Wanafunzi Wake
16 Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya kwe nye ule mlima ambao Yesu aliwaagiza.

Yohana 3:16Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

IMG_4829 (Small) (Mobile).JPG

Recent Videos

> Click > go to that Video Message.

Waefeso 5:19Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
19 Zungumzeni ninyi kwa ninyi kwa zaburi na nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia Mungu mioyoni mwenu kwa sauti tamu.

Moshe Wed, 17 Jun 2015

This site uses cookies. Some of the cookies we use are essential for parts of the site to operate and have already been set. You may delete and block all cookies from this site, but parts of the site will not work.